MTANGAZAJI

WAAUSTRALIA WATOA CHANGAMOTO ZA ELIMU NCHINI

Mtangazaji akiwa na Mchungaji Cheonneth Strickland,Zillah Dragovski,Keira Walker,King Chiragi na Christos Spero vijana hawa ni miongoni mwa vijana walikuja Tanzania toka Australia kwa ajili ya kutoa msaada wa ujenzi wa majengo ya shule ya sekondari huko Suji,Kilimanjaro Tanzania,hapa ni baada ya mahojiano katika kipindi cha sema na jamii hii leo,Mzee Chiragi toka Kijichi ndiye mwenyeji wao

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.