MTANGAZAJI

BASI LA HOOD LINAUNGUA MOTO

TAARIFA ZA HIVI PUNDE ZILIZOIFIKIA BLOG HII TOKA MOROGORO ZINASEMA KUWA BASI LA ABIRIA LA HOOD LILILOKUWA LIKITOKEA ARUSHA LINAWAKA MOTO BAADA YA KUGONGANA NA LOLI KATIKA ENEO LA MELELA KARIBU NA MBUGA YA MIKUMI

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.