MTANGAZAJI

AREKODI ALBAMU HUKU AKIWA NA TAARIFA ZA MSIBA WA KAKA YAKE

Mwimbaji wa nyimbo za Injili Florida J.Mwijarubi (katikati)toka Musoma katika picha ya pamoja na ndugu zake baada ya mahojiano katika kipindi cha Lulu za Injili hapa Morning Star Radio 15.3 FM jana,Mwaimbaji huyo amerekodi albamu yake ya pili akiwa amepata taarifa ya msiba wa kaka yake tumbo moja kilichotokea wiki iliyopita ambayo ndo ilipaswa aingie studio

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.