MTANGAZAJI

MTANGAZAJI AKUTANA NA MSHINDI WA TUZO ZA GOSPEL MUSIC TANZANIA MWAKA 2010/2011 YA BAROZI BORA WA JAMII

Mshindi wa Tuzo ya Gospel Music Award mwaka 2010/2011,Miriam  Thomas Chirwa akiwa na albamu yake mpya muda mfupi kabla ya mahojiano na Mtangazaji katika Kipindi Cha Lulu za Injili hii leo,albamu hiyo inasambazwa na Maua Music Center
Albamu yake ya Pili iliyoko sokoni sasa

Mtangazaji katika picha na Obadia Thoman Chirwa,Mama Chirwa na Miriam Chirwa

Miriam Thomas Chirwa akiwa na wazazi wake mara baada ya mahojiano na Mtangazaji hapa Morning Star Radio 105.3 FM-Dar es salaam

3 comments

Unknown said...

ubarikiwe Mariam. Mungu akupiganie

Unknown said...

Ipate CD yake kwanza.

Anonymous said...

hakika bwana amekutambulisha katika jamii.baada ya kusikiliza cd yako ya nitambulishe bwana imani yangu imekua.
mungu akubariki uendelee kumtumikia kwa njia nyimbo.

Mtazamo News . Powered by Blogger.