Mjini Morogoro leo asubuhi hakuna usafiri wa daladala inayotembea kuna mgomo uliosababishwa na wamiliki wa daladala na madereva kugoma kulipa kiasi cha shilingi 500 gari linapokuwa likiingia stand na kutoka ambapo zamani ilikuwa ni shilingi 200 mpaka 300
Pikipiki ndizo zinafanya kazi na taxi pamoja na malori yanabeba wanafunzi.
Na Mdau Fanuel Tanda
Post a Comment