MTANGAZAJI

AJALI HUKO MOROGORO KULIKONI?

ASKALI WA USALAMA BARABARANI AKILIKAGUA BASI LA KAMPUNI YA CHAMPION LIKIWA LIMEPINDUKA KATIKA ENEO LA KIJIJI CHA MIKESE BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO BAADA YA KUTOKEA AJILI IKIHUSISHA NA DALADALA LENYE NAMBA YA USAJILI T891 BBD , WATU 10 KUJERUHIWA KATIKA AJALI HIYO HUKO MOROGORO
 BASI LA KAMPUNI YA SUMRY LIKIWA LIMEACHA NJIA BAADA YA KUTOKEA KWA AJALI KATIKA BARABARA KUU IRINGA-MOROGORO ENEO LA KIJIJI CHA MASEYU MKOANI MOROGORO BAADA YA KUGONGANA NA PICKUP AMBAPO WATU WATATU WANADAIWA KUPOTEZA AMAISHA PAPO HAPO NA WENGINE KUJERUHIWA KATIKA AJALI HIYO WIKI ILIYOPITA (PICHA ZOTE NA JUMA MTANDA WA MORO)

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.