MTANGAZAJI

NATAMANI

Natamani mtandao wa wikileaks ungefichua mambo yafuatayo ambayo ni kero kubwa kwa nchi za kiafrika.
1. Mali za viongozi wa Africa zilizofichwa nje ya nchi
2. Ufisadi mkubwa za viongozi wa Afrika walizofanya wakiwa madarakani kwa kushirikiana na watu wa nje.
3. Mauaji ambayo viongozi madikteta wa africa wameyafanya wakiwa madarakani.
4. Viongozi wa Africa wanaoshiriki katika biashara ya madawa ya kulevya.
Na mengineyo yatakoyokuwa yanafaa.

Na:Anganile Mwakalonge

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.