Mnara wa kampuni moja ya simu ukiwa umejengwa karibu kabisa na nyumba hii huko mjini Morogoro,miaka kadhaa iliyopita nilishawahi kuishi katika nyumba hii kabla mnara huu haujajengwa,wadau wa afya na mazingira vipi hapo???
Post a Comment