MTANGAZAJI

TANGA KUNANI?Mtangazaji akiwa na wafanyakazi wa kituo cha Redio cha Mwambao 106 FM huko Tanga

 Mnara wa kihistoria uliojengwa na Wajerumani na baada ya kuondoshwa na Waingereza wakaweka maneno haya mwaka 1916 wakimaanisha wao ndio watawala wa eneo hili
Jengo lililojengwa na wakoloni wa Kijerumani huko Pangani na kujeuzwa kuwa posta  na Waingereza baada ya kuwashinda katika vita iliyomalizika mwaka 1918

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.