MTANGAZAJI

WAADVENTISTA WASABATO WATAKIWA KUVITUMIA VITUO VYA REDIO

 Mchungaji Blasious Ruguri akiwahutubia wafanyakazi 55 toka katika vituo vya Redio hii leo hapa Ongata Rongai,Nairobi Kenya.

Kiongozi wa kanisa la Waadventista Wasabato katika kanda ya Afrika Mashariki na Kati Mch Blasious Ruguri amewataka waumini wa kanisa hilo katika nchi 10 katika ukanda huo kuzisaidia kuendesha vituo vya redio 9 vya FM vilivyopo kwenye eneo hilo,mpaka mwishoni mwa mwaka huu kanisa linatarajiwa kuwa na vituo 18

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.