SEMINA ELEKEZI HAPA, NAIROBI,KENYA
Mtangazaji ndani ya studio za Hope Channel zilizopo Ongata Rongai,Nairobi,Kenya |
Semina elekezi ikiendelea,Mhazini wa Tanzania Adventist Media Center Farida Mika naye yupo |
Mtangazaji akichangia jambo katika mdahalo katika moja wapo ya mada za leo kwenye semina elekeze ya wafanyakazi 55 wa FM Radio za Kanisa la Waadventista Wasabato zilizopo katika nchi 10 zilizopo katika ukanda wa Afrika Mashariki na Kati,semina hiyo inatarajiwa kumalizika Septemba 23 hapa Nairobi inayoendeshwa na Radio ya Waadventista Ulimwenguni(AWR)
Post a Comment