MCH.JOSEPH SHEM ONYANGO AMEFARIKI
Habari za kusikitisha zilizoifikia blog hii mchana huu hapa Nairobi toka Morogoro, Tanzania zinaeleza kuwa Mzee wa Sera Mchungaji Joseph Shem Onyango amefariki dunia leo baada ya kugongwa na pikipiki alipokuwa akivuka barabara.
Blog hii itaendelea kukufahamisha zaidi,BWANA awape faraja wafiwa ndugu jamaa na marafiki wa familia ya Mchungaji
Post a Comment