MTANGAZAJI

AJALI MBAYA DAR ES SALAAM
Hi braza pole na majukumu
Hizi nipicha za ajali ya gari hiyo ndogo rav4 T361AUK iliyotokeajana usiku mida ya saa nne hivi njia itokayo buguruni kwenda ubungo.
Kulikuwa na roli ambalo kwa mujibu wa mashuhuda wanasema lilikuwalimesismama katikati ya njia bila kiashilio chochote na hiyo gariilikuja kwa nyuma nakiliingia,katika gari hilo alikuwemtu mmoja amabaye sikupata jina lake na alipekwa hospitali lakini hali yake ilikuwa mbaya mno.

EMMANUELEY MGONGO

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.