MTANGAZAJI

NICO NA ELIZABETH WALIPOMEREMETA







Mdau wa blog hii Nico Mujaya "Chifu" hivi karibuni aliamua kuiaga kambi ya waseja na kufunga pingu za maisha na Elizabeth Mustapha,ndo ilifungwa katika Kanisa la Waadventista Wasabato Kirumba,Mwanza na sherehe ya kuwapongeza iliyofanyika kwenye ukumbi wa New Mwanza Hotel jijini Mwanza.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.