BREAKING NEWS
TAARIFA ZILIZOIFIKIA BLOG HII HIVI PUNDE NI KWAMBA BASI LA KAMPUNI YA MERRIDIAN LINALOFANYA SAFARI ZAKE TOKA ARUSHA KUJA DAR ES SALAAM LIMEPATA AJALI KARIBU NA WAMI INASEMEKANA MAMA MMOJA AMABAYE NI MWANA KIJIJI AMAPOTEZA MAISHA NA MAJERUHI WAKO KITUO CHA POLISI CHALINZE KWA TARATIBU ZAIDI ZA MATIBABU
Post a Comment