MTANGAZAJI

BIASHARA NI MATANGAZO!!


Mjasiliamali wa kuuza machungwa katika Manispaa ya Morogoro, Jackson Mazome, akimenya chungwa katika stendi ya daladala yaendayo nje ya mji huo huku akisubiri wateja wake baada ya kununua katika soko la matunda la Mawenzi sh 50 kisha kuyauza kwa bei ya reja reja kwa 100.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.