MTANGAZAJI

POLISI WA BONGO


Sijawahi kufika katika vyuo vya Polisi huenda mnaofahamu mnisaidie haya ndo maadili ya jeshi letu la Polisi Tanzania????

1 comment

Anonymous said...

Huu ni udhalilishaji wa raia Haki za binadamu hazikubaliani kabisa na hiyo staili kwanza kisheria polisi wanapomkamata mtu kazi yao ni kumpeleka kwenye vyombo vya sheria kwa ajili ya uchunguzi

Embu fikiria kwa makini kama polisi wakimfanyia vitendo hivyo mtu huyo na baadaye ikagundulika kuwa hana kosa lolote huyo mtu ana haki ya kuwafungulia mashitaka hao polisi Embu kumbukeni mwaka 2000 wale askari wa kizungu wa South Africa waliowanyanyasa raia kwa kutumia mbwa walichukuliwa hatua kwa kwenda jela na wengine kwa kuachishwa kazi kwa kuzingatia haki za binadamu duniani

Mara nyingine polisi wa Bongo hufanya hivyo kwa kujionyesha kwa wananchi kuwa wanafanya kazi. Na wakati mwingine polisi hutaka sifa kwa mabinti wanapowaona ndiomaana huwezi kukuta polisi wa kike akifanya vitu kama hivi

wakati mwingine hutaka rushwa ukifuatilia kwa makini unaweza kushangaa huyo mtu hawaja mfikisha kokote zaidi ya kumuomba rushwa na wengine kama huyo waliye mkamata ni msichana hudiriki hata kumuomba huroda au kumkandamiza Ndiomaana wngi hufa kwa ngoma

HALI HII HUTOKANA NA SERIKALI KUTOCHAGUA WATU MAKINI NA WALIOSTAARABIKA KATIKA KUFANYA KAZI YA UPOLISI BALI HUCHAGUA WATOTO WA VIGOGO AMBAO HAWANA SIFA ZINAZOTAKIWA NA WALIOSHINDIKANA NYUMBANI KWAO ILI MRADI NAO WAPATE AJIRA JAMANI TUWE MAKINI KWANI POLISI NI CHOMBO MUHIMU KATIKA USALAMA WA RAIA EMBU TUBADILIKE

Mimi simooooooooooooooooo!

Mtazamo News . Powered by Blogger.