MTANGAZAJI

TAIFA STARS MMEMWONA HUYU ?

Huyu ni "mchezaji wa kulipwa wa Tanzania" William Izungo hapa akichupa katika mazoezi huko Canada,Tanzania kuna vipaji vya soka lukuki suala ni jinsi ya kuviendeleza bado linatuumiza vichwa wadau wa soka .Ukiondoa suala la soka jamaa pia ana kipaji cha uimbaji kwani anaalbum mbili mkononi ambazo zinasikika Morning Star 105.3 FM jijini Dar es salaam, waweza ona video yake kwa kuingia katika www.youtube.com na usearch kwa kuandika WILLIM IZUNGO ama kwa kuingia hapa http://www.youtube.com/watch?v=FbUXoycDu4w


Mdau William Izungo(nyuma ya mama aliyebeba mtoto) akiwa na Waadventista toka Afrika Mashariki katika kanisa la Downsview huko Canada,Mdau yuko huko toka mwaka jana

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.