MTANGAZAJI

MDAU TOKA UBELGIJI

Bi.Arlette Akiwa na Dr Kang'a toka Shirika la Population Services International(PSI) nyumbani kwa daktari huyu hapa Morogoro
Mdau wa blog hii to nchini Ubelgiji Bi Arlette ambaye alitembelea hapa nchini na kutoa msaada wa nguo na viatu kwa baadhi ya walemavu wa ngozi (Albino) mjini Morogoro ,hapa akiwa na Mrs Rachel Kang'a mtaalam wa maabara katika hospital ya mkoa wa Morogoro,mdau huyu aliguswa kutoa msaada baada ya kuona picha za walemavu hao zilizochapishwa na blog pacha http://www.childrensinafrica.blogspot.com/

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.