
Niko na Michael Kuyenga mmoja wa wachungaji ambao wanavipaji vingi,hapa ni wakati akiwa Meneja wa Morning Star 105.3 FM kule Dar es salaam,hapa alikuja Morogoro kwenye mnuso fulani mwaka nimesahau ila ni baada ya kutoka kula nondo zake za huko Uingereza katika fani ya Mawasiliano ya Umma. Hivi sasa yuko mkoani Mara
Post a Comment