Brother Frank akiimbisha wakati wa ufunguzi wa ibada siku ya jumamosi
Kambi la mwaka huu lilishuhudia huduma ya ufungwaji wa ndoa siku ya sabato,Bestman Brother Godfrey naona hapa alikuwa anafanya mazoezi na kutafakari jinsi anatakavyofunga ya kwake August 8,mwaka huu na binti toka mwanza aishie Marekani
waimbaji wa Mburahati sda Choir
magomeni sda choir
Anorld Mwapongo
Tumaini Lameck na Abrahamu Mwapongo
Binti huyu Witness Lima akiendelezwa vyema na wazazi wake mr na mrs Lima ni hazina kwa taifa na kanisa kwa kuwa anakipaji cha kueleza na kufundisha
1 comment
Anonymous
said...
Hey Dr. Mpoki looks great. The whole event looked amazing. God bless
Post a Comment