MTANGAZAJI

MAKTABA

Amini usiamini msikilizaji wangu hii ni maktaba katika Chuo Kikuu cha KTH huko Sweden,pichani ni kutoka kushoto ni Abrahamu(Kameruun),Aureus Mbele(Tanzania)na Dada Judy(Kenya) wanaosoma kwenye chuo hicho kilichopo Stockholm,Aureus atakuwa anahitimu masomo yake hivi karibuni na kuja kulitumikia taifa lake la Tanzania. Rafiki yangu mmoja aliniambia kuwa katika mazingira kama haya unaweza kusoma mpaka ukageuza ubao.Vyuo vya bongo vipi?

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.