MCH ISRAEL KAGYA ATAMBULISHWA RASMI KWA KANISA LA SUGARLAND ACCESS, TEXAS
Katibu Mkuu wa Konferensi ya Texas ya Kanisa la Waadventista wa Sabato, David Runnels amemtambulisha rasmi Mchungaji Israel Kagya kuwa mchungaji kiongozi wa Kanisa la Waadventista wa Sabato la Sugarland Access,Texas Marekani katika ibada iliyofanyika kanisani hapo Novemba 9,mwaka huu.
Kanisa la Sugaland Access lenye waumini kutoka nchi mbalimbali ikiwemo Marekani,Ufilipino,Slovania,Cameroon na Mexico ni miongoni mwa makanisa mawili ambayo Mch Kagya atakuwa akiyachunga. Kanisa lingine ni la Nations of Praise lenye waumini kutoka Afrika Mashariki waishio Marekani ambalo ameanza kulihudumia Septemba mwaka huu, Waweza kuangalia tukio hilo hapa
Post a Comment