Rais wa Jamhuri
ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akipokea Ripoti ya Kamati
Maalum aliyoiunda kwa ajili ya kufanya tathmini ya Ugonjwa wa Corona
COVID -19 nchini kutoka kwa Mwenyekiti wa Kamati hiyo Profesa Said Aboud
Ikulu Jijini Dar es Salaam Mei 17, 2021.
Post a Comment