MTANGAZAJI

KIKWETE AMLILIA MAGUFULI

Rais Mstaafu wa awamu ya nne nchini Tanzania Jakaya Mrisho Kikwete kupitia account yake ya Twitter ameandika ujumbe aliouambatanisha na maelezo yanayoonyesha hisia zake za masikitiko ya kufariki kwa Rais wa awamu ya tano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli aliyefariki Machi 17,2021 jijini Dar es salaam Tanzania.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.