MTANGAZAJI

SERIKALI YATOA ONYO KWA WAUMINI NA VIONGOZI WA DINI NCHINI TANZANIA (+VIDEO)


Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya nchini Tanzania Mhandisi Hamad Masauni amefungua rasmi Mkutano wa Uzoefu wa Nguvu ya MUNGU unaofanyika Dodoma Tanzania ukiendeshwa na Kanisa la Waadventista wa Sabato  huku akiwataka waumini,taasisi na viongozi wa Dini kuzingatia sheria za nchi

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.