NDANI YA STUDIO ZA HERITAGE SINGERS WAKIREKODI SANTURI MPYA BAADA YA MIAKA SABA (+VIDEO)
Art Mapa,Tim Davis na Max Mace wakiendelea na kurekodi |
Art Mapa akirekodi na Mzee Max Mace akifuatilia kwa karibu |
Santuri hiyo inayosubiriwa na wafuatiliaji wa nyimbo za waimbaji wa kundi hilo lililoanzishwa mwaka 1971 na Max Mace inarekodiwa chini ya waimbaji,watayarishaji na waongozaji wa waimbaji hao Art Maper na Tim Davis.
Picha na:Heritage Singers
Post a Comment