MTANGAZAJI

MTOTO ALIVYOMTULIZA RAIS WA KENYA UHURU KENYATTA (+VIDEO)

Baada ya Rais wa Kenya,Uhuru Kenyatta kuripotiwa na vyombo vya habari na kwenye mitando  ya kijamii hivi karibuni kuwa raia wa Kenya wamemshuhudia Rais huyo akiwa nchini humo na kuondoa utata wa kutoonekana kwake nchini humo, video ikimwonyesha Rais huyo akiwa na mtoto mdogo ambaye anazungumza naye na kumwambia atulie imeanza kusambaa katika mitandao mbalimbali ikiwemo whatsapp.

Mara ya mwisho mtangazji.com kupitia kwa Youtube ilimwonesha Rais Uhuru akihutubia kwenye Kongamo la Kimataifa la Biashara,Teknolojia na Uwekezaji lililofanyika juma lililopita mjini Kigali Rwanda.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.