MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:KIONGOZI WA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO AWATAKA WAZAZI KUTOWANUNULIA WATOTO TOY ZA BASTOLA

 

Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Unioni ya Kusini mwa Tanzania Mchungaji Mark Walwa Malekana(pichani) amewataka wazazi kutonunulia watoto toy za bastola ama kuwaruhusu kutazama video za uhalifu kwa kuwa vinahalibu akili zao.

Sikiliza sehemu ya Hotuba yake aliyoitoa kwenye Mkutano wa Makambi ya Kijichi,Jijini Dar es salaa hivi karibu wakati akitoa huduma ya kubariki watoto.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.