CHATO:TIGO YATOA MSAADA WA VIFAA VYA MASOMO YA SAYANSI KWA SEKONDARI YA CHATO
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakiwa katika picha pamoja na vifaa vya masomo ya sayansi vilivyotolewa na kamouni ya simu ya tigo |
Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Chato wakifuatilia matukio wakati wa kupokea vifaa vya masomo ya Sayansi (Fizikia,Baiolojia na Kemia) vyenye thamani ya Sh 30 Milioni kutoka kampuni ya Tigo. |
Post a Comment