MTANGAZAJI

AMBASSADORS OF CHRIST TOKA RWANDA KUWEPO KWA MAKAMBI MOMBASA JUMA HILI

 

Waimbaji 27 wa Kwaya ya Ambassadors of Christ ya Kigali,Rwanda watasafiri juma hili kuelekea Mombasa nchini Kenya kwenye mkutano wa Makambi ya Kanisa la Waadventista Wa Sabato la Kizingo.

Taarifa zilizopo kwenye ukurasa wa facebook wa Kwaya hiyo na ambazo zimethibishwa na Mwalimu Sozzy Joram hii leo zinaeleza kuwa Waimbaji hao wataondoka Kigali Rwanda kesho usiku kuelekea kwenye mkutano huo mjini Mombasa ambako wanataraji kufika jumatano hii.


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.