MTANGAZAJI

DAR ES SALAAM:WAFANYAKAZI WA NMB,SERENA HOTELI WASAIDIA WATOTO WA DOGODOGO CENTRE BUNJU

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakiwasili katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kutoa msaada kwa watoto wa kituo hicho jana.Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Wafanyakazi wa Benki ya NMB wakikabidhi baadhi ya misaada yao waliojichangisha kwa ajili ya kusaidia watoto katika Kituo cha watoto yatima cha Dogodogo Centre Bunju kwa mmoja wa viongozi wa kituo hicho. Baadhi ya Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya NMB wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituo hicho kutoa misaada mbalimbali kwa watoto wa kituo hicho jana jijini Dar es Salaam. Baadhi ya wafanyakazi wa Serena Hoteli ya jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituoni hapo jana na kula chakula cha mchana na watoto wa kituo hicho. Baadhi ya wafanyakazi wa Serena Hoteli ya jijini Dar es Salaam wakishiriki zoezi la kupaka rangi moja ya majengo ya Kituo cha Watoto Yatima cha Dogodogo Centre Bunju walipotembelea kituoni hapo jana na kula chakula cha mchana na watoto wa kituo hicho.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.