PICHA NA VIDEO-TAMASHA LA THE LIGHTBEARERS LILIVYOFANA DEC 13,2015
Waimbaji wa LightBearers wakiimba kwenye tamasha la Uzinduzi wa matoleo yao mawili ya DVD lililofanyika Desemba 13,2015 kwenye ukumbi wa Makumbusho ya Taifa jijini Dar es salaam |
Mkurugenzi wa JCB Studioz na LightBearers Waziri Barnabas akitambulisha wageni |
Mshereheshaji Adamu Nyando akitekeleza majukumu yake kama kawaida |
Edina Matinde toka Tanzania akiimba |
Benton Callwood toka Marekani alikuwepo |
Joseph Oola na kikundi chache |
The Voice wakiimba na Emanuel Mcharo wa Vocappella |
VGS toka Chuo Kikuu cha Arusha |
Mwalimu wa Ambassadors Of Christ ya Rwanda Sozzy Joram akihojiwa na Prince Emanueli wa Morning Star Radio |
Benton akiimba |
Didier Karasira toka Rwanda |
Mwalimu Sozzy Joram toka Uganda akiimba |
Waziri Barnabas akizungumza na Morning Star Radio |
Israel Mugisha akiimba |
Waimbaji wa Family Music toka Tanzania wakiimba |
Post a Comment