MTANGAZAJI

MANYARA:HABARI KAMILI YA SABABU ZA KUUNGUA MOTO KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO KAZAMOYO LA MIRERANI IKO HAPA

Picha za Kanisa la Mirerani Central(Kazamoyo)baada ya kuungua leo mchana

Kanisa la Waadventista Wa Sabato KazaMoyo lililopo Mirerani, mkoani Manyara, limenusurika kuteketea kwa moto baada ya baadhi ya maeneo ya jengo hilo kuwaka moto na kuteketeza baadhi ya vitu vilivyoko katika jingo hilo leo mchana Septemba 24.


Mwandishi wa Habari Jackson Sekiete amezungumza na Mzee wa kanisa hilo Furahini Mmbaga ambaye ameeleza chanzo cha moto huo ambao umeunguza ofisini za kanisa hilo kuwa ni kukatikakatika kwa umeme
Sikiliza mahojiano ya Jackson Sekiete na Furahini Mmbaga hapa

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.