PICHA:MAKAMBI YA WAADVENTISTA WA SABATO MANZESE 2015 YALIVYOHITIMISHWA
Waimbishaji wakiimbisha nyimbo za halaiki |
Mbiu Kwaya wakiimba |
Joseph Ligala mwalimu wa Mbiu Kwaya |
Kwaya ya Sauti ya Nyikani toka Sinza wakiimba |
Angaza Kwaya wakiimba |
Wapiga Vyombo wa Kwaya ya Angaza |
Kwaya ya Sauti ya Jangwani toka Shinyanga walikuwepo |
Wapiga Magitaa wa Sauti ya Jangwani |
Mchugaji Tirumanywa na somo lake la Rudi Nyumbani aligusa hisia za waumini waliohudhuria |
Watoto wakionesha kipindi chao Maalum ambacho pia kitarushwa hivi karibuni na Morning Star TV |
Wazazi wakiwa na watoto ambao walibarikiwa |
Post a Comment