MTANGAZAJI

PICHA:ILIVYOKUWA KATIKA UZINDUZI WA SANTURI MWONEKANO NAMBA 4 YA KWAYA YA ANGAZA

Alhaji Ramadhani Madabida akizindua dvd ya Kwaya ya Angaza
Waimbaji wa Kwaya ya Angaza
AIC Chang'ombe


The WinnersMbiu Kwaya toka Tandale waliimbaThe Kings Messengers toka UbungoWaimbaji wa Sauti ya Nyikani walikuwepo


Kinondoni Kwaya wakiimba
Uzinduzi wa Santuri mwonekano namba nne  iitwayo milango kumi na mbili ya Kwaya ya Angaza umefanyika Mei 17,mwaka huu  katika Hoteli ya  Lion Sinza ambapo Mgeni Rasmi alikuwa ni  Alhaji Ramadhani Madabida Mjumbe wa Halmashauri kuu ya taifa wa CCM na Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Dar es salaam aliyemwakilisha Waziri wa Habari,Vijana,Utamaduni na Michezo nchini Tanzania Dk. Fenela Mkangara.

Tukio hilo la aina yake ambalo lilipambwa na waimbaji wa Kwaya ya Kinondoni,AIC Chang'ombe,Mbiu Kwaya,The Winners,Sauti ya Nyikani na Kikundi cha The Kings Messengers na wenyeji Angaza  huku zikipatikana  zaidi ya 40 milioni ahadi na taslimu

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.