Kanisa la Waadventista Wa Sabato Kanda ya Kaskazini Mwa Tanzania kwa kushirikiana na Idara ya Vijana limeendelea kutoa misaada mbalimbali kwa wahitaji ikiwa ni mwendelezo wa juma la matendo ya huruma litakalohitimishwa duniani kote kwa kanisa hilo Mach 21 mwaka huu
Post a Comment