MTANGAZAJI

PICHA ZA TAMASHA LA MIAKA MITANO YA REMNANT GENERATION SINGERS NA SHUKRANI KWA MUNGU KUTUFIKISHA MWAKA 2015


Mwenyekiti wa Remnant Generation Singers Mama Anna Matinde akihojiwa na waandishi wa habari


Waziri Barnabas Mkurugenzi wa Light Bearers na JCB Studioz akizungumza na vyombo vya habari

Mchungaji Mabwai akitoa neno la ufunguzi na shukrani kwa Mungu
Remnant Generation Singers wakiimbaWaimbaji wa Light Bearers wakiwa jukwaani

Mama Matinde akitoa nasaha na shukrani kwa Mwalimu Fredy Kirya

Miongoni mwa wazee waliohudhuria akipewa keki

The Family Music walikuwepo

Asha Majura


The Brothers

Wilson alihitimisha umbaji siku hiyo

Mama Anna Matinde akitoa shukrani kushoto ni Waziri Barnabas

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.