MTANGAZAJI

TAMASHA LA UZINDUZI WA DVD,UPIMAJI WA AFYA NA MATIBABU BURE DESEMBA 7,2014 PTA SABASABA


Kutakuwa na tamasha la Uzinduzi wa DVD namba mbili ya waimbaji wa Family Singers toka Buguruni jijini Dar es salaam,utakaoambatana na huduma za upimaji wa afya na matibabu bure toka kwa madaktari mbalimbali.

Waziri Mkuu wa Tanzania Mheshimiwa Mizengo Kayanza Pinada  ndiye Mgeni rasmi kwenye tukio hilo la aina yake  ambalo  linatarajiwa kuanza saa 3 asubuhi kwenye viwanja vya PTA Sabasaba litawasisha Vocapella,Martha Mwaipaja,Leah Moudy,AIC Vijana Chang'ombe,Acacia Singers,Papson Mastaki toka Kenya na Frank Hume toka Marekani

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.