KUMALIZIKA KWA MKUTANO WA DICOTA 2014
Baraza la waTanzania waishio nchini Marekani (DICOTA) limemaliza mkutano wake wa mwaka Jumapili ya Oktoba 5 jijini Durham jimbo la North Carolina ambao kwa wengi waliohudhuria, wameonyeshwa kuridhishwa nao
Mwenzangu Mubelwa Bandio, anayo taarifa kamili.
Hii ni sehemu ya ripoti za Kwanza Production kwenye kipindi cha DAKIKA 90 ZA DUNIA kinachorushwa na kituo cha Radio cha Capital FM cha Dar Es Salaam Tanzania kila Jumamosi kuanzia saa moja na nusu asubuhi (7:30 AM) na kwenye kipindi cha Huku na Kule cha kila jumapili saa moja na robo cha Morning Star Radio.
Hii ilikuwa ripoti ya Oktoba 11 na 12, 2014
Post a Comment