SHUHUDIA MADAKTARI WA MUHIMBILI WAKIIMBA KWENYE UZINDUZI WA DVD YAO YA NYIMBO ZA INJILI
Kutakuwa na Tamasha la Uzinduzi wa DVD ya kwanza ya waimbaji wa TUCASA toka Chuo Kikuu cha Sayansi na Tiba utakaofanyika chuoni hapo kuanzia saa 7 Mchana hadi saa 12 jioni Agosti 10 mwaka huu.Hakuna Kiingilio |
Post a Comment