MTANGAZAJI

MWIMBAJI WA AMBASSADORS OF CHRIST YA RWANDA AFUNGA NDOA NA MWIMBAJI WA VOV TOKA TANZANIA

Mwimbaji wa kundi la VOV la jijini Dar es salaam ,Tanzania Warren Bright baada ya kufunga ndoa na Mwimbaji wa Ambassadors Of Christ ya Kigali,Rwanda Claire Humure,Ndoa hiyo ilifungwa katika Kanisa la Waadventista Wa Sabato Ushindi,Agosti 17,2014

Warren Bright na Claire Humure katika picha na baadhi ya waimbaji wa Ambassadors of Christ nchini Rwanda kwenye sherehe ya kifamilia kabla ya kufunga ndoa-(Picha kwa hisani ya Warren Bright)



No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.