Mkutano wa injili unaendelea katika viwanja
vya Mashujaa Mjini Moshi.Unaendeshwa na Makamu wa Kiongozi wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Duniani Mch Geofrey Mbwana akiwa na Mch Caleb Migombo wote wakitokea Marekani ,Ambapo leo ulirushwa moja kwa moja kupitia Morning Star Radio,leo wamebatizwa watu 150,Kauli mbiu ya Mkutano huo ni Chagua Amani-Picha zote na Abel Kinyongo |
Post a Comment