10,000 WALIOJITOKEZA KWA USAILI WA NAFASI ZA KAZI 70 UHAMIAJI
Watanzania wanaokadiriwa kuwa ni 10,000 waliojitokeza katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa ajili ya usaili wa nafasi za kazi 70 za Jeshi la Uhamiaji nchini Tanzania (Picha kwa hisani ya wasifu wa Mutani Yangwe kwenye facebook)
Post a Comment