BAADHI YA PICHA ZA SIKU YA CHANGIZO LA KUELEKEA UZINDUZI WA MORNING STAR TV JIJINI DAR ES SALAAM
Mikocheni SDA Choir wakijiandaa kupanda jukwaani |
Kutoka kushoto ni Mch Ruguri,Mch Magulilo Mwakalonge,Mch Godwin Lekundayo,Mch Machage na Ndugu Manongi |
Makamu wa Mwenyekiti wa Kanisa la Waadventista Wa Sabato Dunia Mch Benjamin Shoun akiomba ombi la kuweka wakfu mchakato wa uanzishwaji wa Morning Star TV |
Kibada SDA Choir wakiimba |
Post a Comment