MCHUNGAJI LAMECK KABINZA KUZIKWA NYUMBANI KWAKE MISUNGWI OKTOBA 20,2013
KANISA
LA WAADVENTISTA WA SABATO
SOUTH
NYANZA CONFERENCE LINASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA MCHUNGAJI LAMECK KABINZA
KILICHOTOKEA GHAFLA SIKU YA JUMATANO TAREHE 15/10/2013 NYUMBANI KWAKE MISUNGWI
– MWANZA.
HUDUMA YA KUUAGA MWILI WA MAREHEMU ITAFANYIKA SIKU YA JUMAMOSI ALASIRI KATIKA KANISA LA WAADVENTISTA WA SABATO MABATINI JIJINI MWANZA, IKIONGOZWA NA MCHUNGAJI JOSEPH BULENGELA
ASKOFU
WA JIMBO, BAADAYE MWILI WA MAREHEMU UTASAFIRISHWA KUELEKEA NYUMBANI KWAKE.
HUDUMA
YA IBADA YA MAZISHI ITAFANYIKA OKTOBA 20 KUANZIA SAA 6:00 MCHANA
MISUNGWI
– MWANZA.
IMETOLEWA NA,
MCH. ASTON MMAMBA,
MKURUGENZI WA MAWASILIANO,
SOUTH NYANZA CONFERENCE.
Post a Comment