MTANGAZAJI

NYIMBO KUMI KATIKA LULU ZA INJILI YA MORNING STAR RADIO HII LEO1.       TAWALA MAISHA YANGU-JOAN BWIRE-DAR-31
2.       DAMU YA THAMANI-KIBURUGWA SDA CHOIR-DAR-30
3.       NI HERI-HALLELUJAH SINGERS-DAR-27
4.       PAMBANO KUU-AY SAKINA-ARUSHA-25
5.       NAYAWEZA-JUDITH  CHARLES NYANGE-ARUSHA-10
6.       YUSUFU-MSHIKAMANO SDA CHOIR-MEATU-9
7.       NASIFU SHANI-THE SOLDIERS OF CHRIST-DAR-9
8.       TUNASUBIRI-THISDASO-CHUO KIKUU CHA ARUSHA-ARUSHA-2
9.       FALME ZA DUNIA-UNABII GOSPEL SINGERS-BUBOMBI-TARIME-2
10.   YERUSALEMI-TAMBUKA RELI SDA CHOIR-MWANZA-2
Bonus Truck:Namjua-Nyakato Adventist Choir-Mwanza
JUMLA YA NYIMBO ZILIZOPIGIWA KURA JUMA HILI NI 20

 Namba zinazoonekana mbele ya wimbo ni idadi ya kura zilizopigwa,waweza kupigia kura wimbo unaoupenda kwa muktadha wa Morning Star Radio kwa kuandika neno Matumaini acha nafasi andika KB kisha jina na wimbo na mwimbaji/waimbaji na tuma kwa namba 15551


No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.