MTANGAZAJI

UZINDUZI WA CD/DVD ZA ABAKURIKIYE YESU FAMILY CHOIR HUU HAPA

 
Waimbaji wa Abakurikiye Yesu Family toka Kanisa la Waadventista Wasabato la Kacyiru huko Rwanda watakuwa na tamasha la uzinduzi wa toleo lao la audio namba 8 na video namba 4 iliyopo katika DVD inayoitwa Turuha Cyane.

Tamasha hilo ambalo litawahusisha waimbaji wengine toka Rwanda,Hallelujah Choir na Light Family Choir litafanyika kuanzia saa 8 mchana jumamosi ya Februari 23,2012.

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.