PICHA ZA MAADHIMISHO YA KUPINGA ADHABU YA KIFO
Mwakilishi toka Ubalozi wa Uingereza nchini Tanzania,Bwana Mark Polatajko akihutubia kwenye Maadhimisho ya kupinga adhabu ya Kifo yaliyoambatana na mdahalo uliandaliwa na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu Tanzania (LHRC) na kuwakutanisha wanaharakati,wanafunzi,wanasheria na waandishi wa habari uliofanyika kwenye hoteli ya Landmark jijini Dar es salaam leo Oktoba 10,2012.
Post a Comment