MTANGAZAJI

PICHA ZA JWTZ NA JESHI LA POLISI WALIVYOZUIA MAANDAMANO JANA KARIAKOOMoja ya gari lililowabeba baadhi ya askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzani wakifanya doria

Askari wa Jeshi la Wananchi wa Tanzania JWTZ wakiwa tayari kwa kazi

Polisi wa kutuliza ghasia FFU wakitoa ilani watu watawanyike

FFU wakiwa ndani ya pikipiki wakifanya doria (Picha zote toka Kishindoleoblog)   

No comments

Mtazamo News . Powered by Blogger.